Posts tagged 18 June 2018
Kufuatia Shinikizo la Vyombo vya Ulinzi, Fahari ya Beirut kwa Mwaka 2018 “Yaahirishwa kwa Muda”

Kwa mwaka wa pili mfululizo, Fahari ya Beirut kwa ushirikiano na makundi mengine yanayounga mkono na kutetea haki za mashoga wameandaa mijadala na matamasha yanayopinga chuki na unyanyapaa wa kijinsia dhidi ya tofauti katika kujamiiana.

Read More